Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kesho kutoa uamuzi kuhusu maombi ya dhamana au kufikishwa mahakamani viongozi wawili wa Baraza
Month: August 2024

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha warsha kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wanaotegemea kufanya mitihani ya Bodi ili

Yule mzungu ameniahidi kuwa naweza kuvipata vyote kama nitakubali kuwa naye. Sikuona kama kulikuwa na kikwazo cha kuwa naye. Mwanaume ambaye tuliahidiana kuja kuoana hakuwa

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewapongeza na kuwashukuru Waratibu wa Miradi ya Nishati vijijini kwa uzalendo na juhudi zao zilizowezesha mradi wa kupeleka umeme

Mikumi. Uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi umetakiwa kuzingatia utunzaji wa uoto wa asili kutokana na mabadiliko ya mazingira ukilinganisha na hali ya zamani.

“MICHEZO ni fursa ya ajira na burudani na kama unataka kuwa na afya bora ya akili na mwili, huwezi kukwepa mazoezi.” Mkaguzi Msaidizi wa Polisi,

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martine Masawe

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia Zakia Mohamed (26) mkazi wa Mikwambe wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kumuiba mtoto

ZAWADI alijikuta akishangaa busara za yule mwanaume aliyeonekana mwenye busara na huruma. Japo hakupenda kuyakumbuka alichofanyiwa na mpenzi wake ambayo huufanya moyo uvuje damu kwa

Astrid Schomaker, Katibu Mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Anuwai ya Baiolojia. Credit: UNCBD na Stella Paul (Montreal na Hyderabad) Jumanne, Agosti 27,