Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya kilimo cha umwagiliaji katika kijiji
Month: August 2024

Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi

KIJIJI cha Mbwira, kilikuwa mbali na mjini. Inawezekana ndio sababu ya maendeleo yake kuchelewa ikilinganishwa na vijiji vingine vinavyopakana navyo ambayo sasa vimeshakuwa miji. kwa

MKURUGENZI wa Idara ya Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Mhandisi Kashinde Musa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 27,2024 kuhusu ushiriki

Modi, mwenye umri wa miaka 73, amekuwa na jitihada za kudumisha uhusiano wa kihistoria wa India na Urusi huku akijenga ubia wa karibu wa kiusalama

Dar es Salaam. Imeelezwa asilimia 69.4 ya wafanyakazi nchini hawana mikataba ya ajira, hali inayoonekana kukiuka haki zao. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Biashara na

MSHAMBULIAJI wa Tabora United, Heritier Makambo amesema kitu pekee kinachoweza kubadilisha staili ya ushangiliaji wake wa kuwajaza ni supastaa wa Al Nassr ya Saudi Arabia,

Na: Jacquiline Mrisho – MAELEZO Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujikita katika kufikiria njia mbalimbali zitakazowawezesha kuwekeza nje ya nchi ili kusaidia

Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amefungua shina la Wakereketwa la Wavuvi Beach Mji Mwema Kigamboni. CPA Makalla akifungua shina la

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu