KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleimani ‘Morocco’ amesema, kikosi hicho kiko kamili kwa ajili ya michezo miwili ya
Month: August 2024
Arusha. Mahakama ya Rufani iliyoketi Mwanza, imewaachia huru Fikiri Kalamji na Samwel Kalamji, waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mama
Dar es Salaam. Wakati muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ukitarajiwa kuwasilishwa bungeni Septemba 2, 2024, mtandao wa kupinga rushwa
Dar es Salaam, 30 Agosti 2024 – Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua rasmi kampeni maalum ya IMBEJU inayolenga kuwaunganisha vijana na wanawake wajasiriamali
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amelazimika kufunga Jengo lililokuwa likitumika kama nyumba ya ibada maarufu “KANISA LA
Dar es Salaam. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani, ameonyesha dhamira ya kuimarisha demokrasia na utawala bora nchini kupitia falsafa ya 4R. Falsafa hiyo
Mbulu. Mkazi wa kijiji cha Moringe, mkoani Manyara, Carol Christopher (18) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama ya Wilaya ya Mbulu kwa kumlawiti mtoto
Rombo. Siku chache baada ya Mwananchi kuripoti habari ya mwanafunzi wa darasa la sita, James Efram (14) anayelea wadogo zake watano kutokana ugumu wa maisha
Mwanza. Katika hali isiyo ya kawaida, mwenyekiti wa Mtaa wa California uliopo katika kata ya Nyegezi jijini Mwanza, Fadhili Nassoro amewapigia magoti wakazi wa mtaa
Rombo. Siku chache baada ya Mwananchi kuripoti habari ya mwanafunzi wa darasa la sita, James Efram (14) anayelea wadogo zake watano kutokana ugumu wa maisha