Ilanfya: Taratibu JKT mtatuelewa tu!


STRAIKA mtukutu wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya amesema matokeo ya suluhu iliyopata timu hiyo dhidi ya Azam FC ni mwanzo mzuri kwao na anaamini kadri ligi itakavyokuwa ikisonga mbele ndivyo mashabiki watawaelewa msimu huu wana jambo lao baada ya msimu uliopita kunusurika kushuka daraja.

Related Posts