Picha:Ufunguzi wa mafunzo ya shirikisho la askari wa kike duniani na wasiamizi wa sheria Chicago Nchini marekani

Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji shirikisho hilo Leo Septemba 01,2024 Katika Jiji la Chicago Nchini Marekani.

Related Posts