Baraza la Usalama lakutana katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kujadili hali ya uhasama inayozidi kuongezeka nchini Libya na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa
Day: September 4, 2024
Rais wa Internet Society Tanzania (ISOC) Nazar Kilama akizungumza katika mafunzo ya vijana kuhusiana na usimamizi wa Mitandao iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Thadei Nkazabi
MNADHIMU Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othuman ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Mambo ya Nje ya Kisiwa cha Ushelisheli
Dodoma. Jeshi la Polisi limekamilisha upelelezi wa tuhuma dhidi ya baba anayedaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa miezi sita. Limeeleza leo Jumatano Septemba 4,
Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium Lite, na Serengeti Premium Lemon. Mabadiliko haya
Dar es Salaam. Kufuatia kauli tata zinazoendelea kuibuka zikihusu rafu katika chaguzi mbalimbali nchini Tanzania, wadau wa siasa wameibuka na kupinga vikali huku wakitaka muafaka
NA WILLIUM PAUL, DODOMA. WALIMU Wakuu wa shule za sekondari na Wasaidizi wao(Makamu) kutoka katika jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamewasili jijini
Mwanza. Mwamvua Said (75), mkazi wa Kayenze Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amewezeshwa bure kadi ya bima ya afya kwa ajili yake na wajukuu zake
Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa
Dodoma. Shahidi wa 12 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini