Picha :Mapokezi ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Amos Makalla mkoani Arusha

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla amewasili Mkoani Arusha tayari kuanza ziara yake ya siku 6 Katika Mkoa wa Arusha na Manyara. Makalla amepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ndugu Loy Thomas Sabaya pamoja na viongozi wa Chama Mkoa wa Arusha.

Related Posts