Sloti ya Capital City Derby Meridianbet

 

Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe shabiki wa timu yenye jezi nyekundu au nyeusi na nyeupe, timu yako uipendayo itakusaidia kushinda bonasi za kushangaza na Mamilioni kutoka Meridianbet.

Karibu kwenye tamasha la mpira wa miguu – cheza Capital City Derby! Chagua timu yako uipendayo na uanze kufurahia bonasi za kasino kibao.

Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuna mizunguko ya bure inayozidisha ushindi wako mara tatu, alama za wild zinazozidisha zawadi zako mara mbili, na bonasi ya kamari. Zaidi ya yote, una nafasi ya kushinda jackpot tatu zinazoendelea!

Kasino hii imeletwa kwako na Expanse Studios, mchezo wa sloti hii ina nguzo tano na mistari 10 ya malipo inatoa nafasi nyingi za kushinda. Kwa kupanga alama zinazofanana kutoka kushoto kwenda kulia unakuwa umeshinda, na kadri unavyopata mchanganyiko mkubwa, ndivyo zawadi inavyokuwa kubwa!

Unataka mchezo wenye kasi zaidi? Washa Turbo Spin Mode au tumia Autoplay kufurahia hadi mizunguko 250 kiotomatiki.

Chagua kati ya timu ya nyekundu na nyeupe au nyeusi na nyeupe na uanze mchezo.

Alama za kadi za kawaida zinaambatana na wachezaji wa mpira, filimbi, mashabiki, na viwanja vya mpira, huku zawadi kubwa zaidi zikiwa kwa wachezaji wako unaowapenda.

Tayari kwa bonasi za kipekee? Alama ya mpira wa miguu kama wild sio tu inachukua nafasi ya alama nyingine, lakini pia inazidisha ushindi wako mara mbili.

Ukipata alama tano za wild, unaweza kushinda hadi 900x ya dau lako! Wakati huo huo, alama ya scatter ya kombe inakupa zawadi popote itakapoweka, huku tano zikikupa hadi 500x ya dau lako.

Usikose burudani – Capital City Derby ni mahali ambapo ushindi mkubwa unakusubiri!

NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

About The Author

Related Posts