Ajali moro mashuhuda wabywa Pombe na kulewa wakioa majeruhi

Watu kadhaa wanaohofiwa kufariki Dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea katika Kijiji cha Mtego wa Simba kata ya Mikese Barabara ya Morogoro _Dar es salam

Ajali hiyo ambayo imetokea usiku wa kuamkia Septemba 7 mwaka huu ambayo imehusisha magari matatu basi la abiria ,gari dogo na gari dogo la mziigo ambalo limebeba vinaywaji aina ya Pombe

Ayo tv na Millard ayo .com imefika katika eneo la ajali na kukuta wananchii wakibeba vinywaji katika mifuko huku wengine wakinywa hapo hapo

Jitihada za kulitafuta jeshi la polisi zinaendela ili kufahamu madhara yaliyojitokeza katika tukio hilo.

Related Posts