Mwenezi Makala apokelewa mkoa wa Manyara akitokea Arusha

Katibu wa NEC-Itikadi,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla amewasili Mkoa wa Manyara akitokea Mkoa wa Arusha nakupokelewa na Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiongozwa Katibu wa Chama Mkoa Ndugu Iddi Mkowa .

 

CPA Amos Makalla amewasili Mkoani Manyara kuendelea na ziara yake yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2024, na kuimarisha uhai wa chama, ambapo pia atafanya mikutano ya ndani na hadhara ili kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi .

Related Posts