“Ripoti ya leo kutoka kwa Jopo juu ya Madini Muhimu ya Mpito wa Nishati ni mwongozo wa jinsi ya kusaidia kuzalisha ustawi na usawa pamoja
Day: September 11, 2024
Pemba. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) – Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa amesema tiketi ya kupiga kura ni kuwa na kitambulisho, hivyo
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kushiriki katika uchumi wa buluu, akisisitiza fursa kubwa za uwekezaji
Moshi. “Nguzo imeanguka,” hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya wachungaji wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), kusimulia namna Askofu
Dar es Salaam. Ununio ni moja ya maeneo yaliyopo wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, likiwa kaskazini mwa Jiji jirani na Bahari ya Hindi. Eneo hili
Dar es Salaam. Vyama vya Chadema na ACT- Wazalendo vimeibana Serikali, vikitaka hatua kuchukuliwa kushughulikia na kukomesha vitendo vya utekaji au watu kupotea katika mazingira
Na Mwandishi Wetu,Igunga WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa Serikali na kumtaka achezee sekta
Arusha. Serikali imesema itachukua hatua kali dhidi ya wahudumu wa afya watakaoshindwa kudumisha usafi na kusababisha mashuka kutumika yakiwa machafu na kufubaa rangi kwenye hospitali za
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 kwa timu Taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, baada
Dodoma. Walimu wanne na mfanyabiashara mmoja wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency), kisha kutoweka na