La Liga, Bundesliga, Ligue 1 kurejea leo

 

Ligi mbalimbali barani ulaya kuanza kurejea leo baada ya mapumziko ya michuano ya kimataifa ambayo iliendelea wiki mbili nyuma, Ligi kuu nchini Hispania, Ujerumani, na ligi kuu nchini Ufaransa zote zitarejea leo.

Vilabu vya Borussia Dortmund, Real Betis, pamoja na klabu ya Lille watashuka dimbani leo kumenyana katika michezo ya ligi yao, Ambapo michezo yote imepewa Odds kubwa pale kwenye tovuti ya Meridianbet na unaweza kushinda mamilioni.

Klabu ya Real Betis ambayo haijafanikiwa kuanza msimu vizuri mpaka sasa kunako ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, Leo watakua nyumbani kukipiga na klabu ya Leganes ambayo imepanda daraja msimu huu Betis hawafanikiwa kuanza msimu vizuri kwani mpaka sasa hawajashinda mchezo hata mmoja kwenye michezo yao mitatu ya mwisho huku Leganes wao wakishinda mchezo mmoja na kusare michezo miwili.

Ligi kuu ya Bundesliga nayo itarejea tena leo na utapigwa mchezo mmoja kabambe pale kwenye dimba la Signal Iduna Park, Ambapo Borussia Dortmund wamenyana na klabu ya Heidenheim ambao ndio vinara wa ligi hiyo wakifanikiwa kushinda michezo yote miwili ya awali hivo unatarajiwa kua mchezo mkali kwelikweli.

Ligi kuu ya Ufaransa leo itashuhudia mchezo mkali ambapo klabu ya Saint- Etienne itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Lille, Klabu ya Saint-Etienne inashika mkia kunako ligi kuu ya Ufaransa wakiwa wamepoteza michezo yao mitatu yote huku Lille wakishinda michezo miwili na kupoteza mmoja.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author

Related Posts

en English sw Swahili