Shirika la Ujasusi nchini humo, FBI, limesema Trump, alilengwa katika kile walichotaja “jaribio la kumuua.” Idara ya Usalama wa Taifa na FBI wamesema wanachunguza tukio hilo
Day: September 15, 2024
Mfumo wa shinikizo la chini unaoitwa Boris umesababisha mvua za siku kadhaa na mito kupasua kingo zake kuanzia Poland hadi Romania, ambapo idadi ya vifo
OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Segerea,imewasilisha taarifa ya hali ya siasa katika jimbo hilo ikiwa ni hatua ya kuelekea uchaguzi wa Serikali za za
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 16,2024 About the author
SIMBA imemaliza salama dakika 90 za kwanza za mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho, huku shukrani zikienda kwa mbinu alizozitumia kocha Fadlu
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele vya Wizara chini ya
Na Mwandishi Wetu Mwanza WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendeleza jitihada za kuhakikisha wajasiriamali nchini wanafikia
Waziri wa Madini Anthony Mavunde akizungumza leo wakati akifungua kikao kazi na Menejimenti ya Tume ya Madini Jijini Tanga Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven
Dar es Salaam. Ripoti ya uhalifu na makosa ya usalama barabarani ya mwaka 2023 imebainisha kuwa Serikali ya Tanzania imeingiza zaidi ya Sh3.82 bilioni kupitia
Dar es Salaam. Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu