MAPOKEZI YA WAWEKEZAJI

Afisa Uwekezaji na Msimamizi wa dawati la Mashariki ya kati wa kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC)Juma Nzima (kushoto) akisalimiana na ugeni kutoka kampuni ya Al-Sobat Group yenye lengo la kuwekeza katika mafuta na Gesi, Madini, majengo na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GSG Energies, Ismael Elazhari(kulia) Wakati walipowapokea wageni wa Kampuni ya Al-Sobat Group wanaokuja kuwekeza hapa nchini katika sekta mbalimbali kwa kushirikiana na GSG Energies,Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Al-Sobat Group,Hisham Hassan na Mohamed Ibrahim.

Afisa Uwekezaji na Msimamizi wa dawati la Mashariki ya kati wa kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Juma Nzima kushuto akifafnua jambo mbele ya wageni waliowasili Airpot kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GSG Energies, Ismael Elazhari(kulia) Wakati walipowapokea wageni  wa Kampuni ya Al-Sobat Group wanaokuja kuwekeza hapa nchini katika sekta mbalimbali kwa kushirikiana na GSG Energies,Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Al-Sobat Group,Hisham Hassan na Mohamed Ibrahim.

Related Posts