RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO,KUFUNGA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI JESHI LA POLISI NA MAADHIMISHO YA MIAKA 60


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 16 Septemba, 2024.

Rais Dkt. Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) – Moshi, Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Related Posts