Mhe Batilda Burian apokea zawadi kutoka kwa mbunifu wa kimataifa Tanga

Mhe Batilda Buriani Mkuu wa mkoa wa Tanga amepokea Zawadi kutoka kwa Mbunifu wa Kimataifa pichichiturbans zawadi ya vazi la ubunifu lililonakshiwa kwa kanga za kale.

Mkuu huyo wa mkoa wa Tanga amepewa zawadi hiyo akipongezwa kwa kazi nzuri anayoifanya Mkoani hapo.

Alipokea zawadi hiyo mkuu huyo alisema “Sisi Tanga tuko Kitamaduni na kiswahili zaidi, kanga zetu za kisutu na baibui letu la ukaya ni moja ya hazina na fahari yetu.kubwa . nimemkubali.Pichichi kazi yake ni nzuri Sana”

Related Posts