Nukuu ya Mkufunzi wa Masuala ya Haki Joyce Kiria imezidi kushika vichwa vya habari mitandaoni kutokana na wadau wengi kuwa na mitazamo tofauti juu ya kile alichokisema.
“Mwanamke kumfulia na kumpikia mumewe ni ukandamizaji wa haki za wanawake inamfanya mwanamke kuwa kama mtumwa kwa mume wake, tusikubali imefika wakati kila mtu ajihudumie mwenyewe” – amesema Joyce Kiria Super Woman Mkufunzi wa masuala ya haki sawa
Je ni upi mtazamo wako katika kuuendea usawa wa haki kijinsia?
Tuandikie maoni yako kuhusiana na hili!