KAMA ulikuwa haujui basi nakujuza, Meridianbet Imeongeza mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni, ili ushinde unatakiwa k
upiga penati zako 5 za kibabe, na kila mpigo mmoja una odds zake za ushindi, ukiona unataka kuishia njiani una kusanya hela zako za ushindi.
Beach Penalties ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoweza kucheza kwa dau dogo Zaidi, la kuanzia Tsh 100, huku kila penati utakayopata inahesabaiwa na odds kubwa za ushindi.
Jisajili na Meridianbet kufurahia mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, wakati ambao unaweza kuwa tajiri mkubwa kwa kupiga penati 5 tu. Mchezo huu pia dau la mwisho kucheza ni Tsh 100,000/=
Jinsi ya Kucheza Mchezo Huu.
Njia rahisi ya kucheza na kushinda kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, ni kama ifuatavyo
Hatua ya kwanza: utafungua mchezo kupitia tovuti ya Meridianbet kasino, kisha utaandika Beach Penalties.
Hatua ya Pili: Utachagua kipa/ mlinda mlango ambapo wanakuwa wanne.
Hatua ya Tatu: Unachagua Level unayotaka kucheza, tambua mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una level 3, ambayo ni Expert Scorer, Regular Scorer na Goal Keeper Scorer.
Hatua ya nne: Utaweka dau lako unalotaka kucheza, mchezo huu unaruhusu kuanzia dau la Tsh 100 hadi 100, 000/=
Baada ya kufanya yote hayo, kabla hujapiga mkwaju wa Penati, unatakiwa kuchagua upande ambao uelekeo ya mpira unataka kwenda, kisha utabonyeza kitufe cha mpira, hapo tayari unakuwa umeanza safari ya ushindi.
NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz