Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 22,2024 About the author
Day: September 21, 2024
Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dkt.
*Ni sehemu ya mpango endelevu wa kusaidia jamii kwa kuchangia uboreshaji wa sekta ya Afya. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu (katikati) akipokea
HISTORIA imeandikwa tena. Baada ya usiku wa jana Yanga kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ikiing’oa CBE
NA FAUZIA MUSSA WAZAZI na walezi wametakiwa kushirikiana na walimu wa madrasa kuwalinda watoto wao na vitendo vya udhalilishaji ambavyo bado vinaonekana kuwepo nchini. Mbunge
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi,akizungumza wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga
NA FAUZIA MUSSA Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inaendelea kuzifariji familia 98 zilizoathiriwa na upepo mkali uliovuma katika kijiji cha Tumbatu siku za karibuni.
-Asisitiza Amani, Uvumilive na Kuheshimiana Miongoni mwa Watanzania -Serikali Yaipongeza JMAT kwa Kuhimiza Amani Nchini -Ahimiza Uchaguzi Kuunganisha Watanzania Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu
Unguja. Wakati Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa) ikisajili miradi mipya ya uwekezaji 353 yenye thamani ya Dola za 5.5 bilioni za Marekani (Sh14.99 trilioni),
Na. Vero Iganatus Mkuu Wa Wilaya Ya Karatu Mhe. Dadi Kolimba awataka wanchi wa wilaya ya Karatu kutokeza kujiandikisha katika daftari la wakazi la