Benki ya Stanbic Tanzania yatoa msaada hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro.

*Ni sehemu ya mpango endelevu wa kusaidia jamii kwa kuchangia uboreshaji wa sekta ya Afya.



Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu (katikati) akipokea Vyandarua 337 na Mashuka 350 kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani humo kutoka kwa Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania tawi la Moshi, Hoboka Mwamakunge (kushoto ). Msaada huo ni sehemu ya mipango endelevu ya Benki hiyo katika kuboresha sekta ya afya katika jamii yetu. Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Dkt. Jonas Kessy.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu (kulia) akipokea Vyandarua 337 na Mashuka 350 kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani humo kutoka kwa Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania tawi la Moshi, Hoboka Mwamakunge. Msaada huo ni sehemu ya mipango endelevu ya Benki hiyo katika kuboresha sekta ya afya katika jamii yetu. Kushoto ni mfanyakazi wa Benki ya Stanbic tawi la Moshi, Jesca Makere.

Related Posts