CCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA HOTUBA YAKE KILIMANJARO

 Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa hotuba yake aliyoitoa Kilimanjaro ya kukemea vitendo vya utekaji na mauaji huku akiliagiza jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini wale wanao husika na vitendo hivyo huku kikilaani vitendo hivyo vya upotoshaji wa hotuba hiyo vinavyofanywa na wapinzani hususan Chadema.

Pia, alisema CCM imejipanga vizuri kushinda kwa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutokana na maandalizi makubwa waliyoyafanya na kazi nzuri iliyofanywa na Rais Dk.Samia ya kutekeleza miradi mikubwa na kupeleka fedha nyingi vijijini za utekelezaji miradi ya maendeleo.

Pongezi hizo zimetolewa jana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo,  Amos Makalla alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya siasa Mkoa wa Dar es Salaam.

“Mheshimiwa Rais alitoa kauli ile, akiwa Rais, kiongozi mkuu wa nchi na Amiri jeshi Mkuu, alitoa kauli Ile lakn watu wenye Nia mbaya wamekuwa mitandao na wengine katika vikao vyao wamekuwa wakipotosha na kulipa maana nyingine,

“Nataka niseme mheshimiwa Rais Baada ya taarifa za kifo Cha Kibao, alitoa pole na kutoa maagizo ya kufanyika uchunguzi Kwa kina, alitoa pole Kwa masikitiko makubwa tofauti na wengine wanavyo potosha kauli na maagizo ya Rais Dk.Samia,” alisema.

Aliongeza “CCm kupitia Mwenezi nilitoa pole na siku hiyo Rais alitoa pole na maelekezo ya uchunguzi wa kina, kwa kusikitishwa na kifo hicho, vivyo kwa Rais na Watanzania wote Kila mmoja hili jambo lilimshtua, na alitaka lisijirudjie tena, inapotokeq jambo la kifo, wote linatusikitishaa,” alisema.

Alisema chaajabu baada ya hotuba Ile kimekuwepo upotoshaji na kauli zingine ambazo hazina maana kwa hiki tuweke wazi Rais Samia ametaka lichunguzwe.

Alisema upinzani kupitia Mwenyekiti wao wamekuwa wakitoka kauli tofauti za kutokubaliana na uchunguzi, 

Pia alisema kuna mikakati ya Chadema ya kuchafua nchi yetu, hawapendezwi na amani na maendeleo makubwa yaliyopo

Alisema linalo wap shida Chadema ni utendaji mkubwa wa Rais Dk.Samia na kupeleka fedha nyingi vijijini kuliko awamu nyingine, miradi mikubwa imeendelea kutekelezwa, ikiwemo Bwawa la Mwalimu lililojengwa, Reli ya Kisasa, mradi wa kununua ndege ambazo wanazitumia.

Alisema wamejipanga vyema hata Uchaguzi ungekuwa kesho, wanatashinda kwa kishindo chaguzi zote,

Alisema CCM wameshaandaa Tamko litakalo lltumika katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, liko tayari muda wote litatangazwa 

Alisema wameshajipanga vyema watawaletea Watanzania wagombea safi waiso na makando kando, 

tangu Rais Samia na Katibu Mkuu waongee kunekuwepo uongo na upotoshaji mkubwa kwa kukata kata vipande vya hotuba Kwa lengo la kupotosha na kupofusha Kwa lengo la 

Alisema Chadema 2qnayo mikakati waliweka mikakati wakianza na maadamano, wakagundua kuwa wananchi hawawaungi mkono, 

Alisema anao ushahidi wakutengeneza matukio wake juu ndiyo maana wamekuwa watu wa matukio, Chama Chao kimeshuka hakina mashiko wamekosa mwelekeo, rushwa Niko nndani ya Chadema na ubaguzi uko ndani ya Chadema 

Alisema hata maandamano ya septemba 23 ni mwendelezo wao wa kutengeneza matukio watume picha nje ya nchi, 

Alisema MKAKATI WA poli ni kuchafua imeji ya Taifa nje ya nchi, MKAKATI mwingine ni kuficha migogoro wao wa mgawanyiko ndani ya Chadema kati ya Mbweo na Lisu na mwingine kutokuwa na maandalizi ya Uchaguzi wa serikali za mitaa.

Alisema hawako tayari Kwa dhati kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, hivyo nisema nchi yetu hii inaongozwa na katiba na sheria.

Alisema dhihaka Kwa Rais Kutengenezea maneno na upotoshaji, wanataka kupokea hadhi yake, Kwa kumpa Rais amri hiyo inayoonyesha mpango wao wa kuleta machafuko na kuvuruga amani

Aliwataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Dk.Samia wasikubali agenda za mtu kutaka kuwavuruga Watanzania 

Rais DK.Samia anawajibu wa kuwalinda Watanzania, wenzetu wako tayari kuwafanya Watanzania walete machafuko, wako watu wanao hamasisna wake na watoto wao wako Canada wanaendelea na maisha yao huku wao wako mstari wa mbele.

Watanzania tutambue kuwa huu ndiyo wakati wetu wa kujenga nchi yetu, na kukataa machafuko,

Aliswa viongozi wao hawaja jiandaa kwa uchaguzi na ameshika mipango na agenda yao, 

Alisema tangu CCM iundwe mwaka huu ndiyo wamejipangaa vyema zaidi 

Alisema Chadema wameshindwa kumuondoa Mbowe kwa miaka 20 wakilinda Katiba ya Chama Chao, hivyo WALINDE na kuheshimu katiba ya Nchi, 

Alisema lengo la kuhakikisha wanashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu.

Alizipongeza Kamati za siasa na viongozi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya zake Kwa ziara nzuri ambazo nimeleta uhai na msisimko wa CCM huku akiwapa salama za pongezi za Rais Dk.Samia kwani alikuwa anafuatilia.

Pia, alisema Katibu Mkuu wa Chama Dk.Emmanuel Nchimbi, alipongeza huku akisema alifurahi namna ambavyo walijipanga vyema katika ziara hiyo.

Kipekee alipongeza Wilaya ya Temeke kupitia majimbo ya Kigamboni na Temeke kwa kujipanga vyema na kuwa na mwitikio mkubwa katika 

Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu alisema wajumbe wa Kikao hicho wamefurahi saana kwa kikao hicho kutaka kusikia mlezi wao, huku wakipongeza ziara yake ya Mkoa huo.

Alisema ziara zinaendelea katika Mkoa huo na viongozi mbalimbali wa Chama wakiwemo wenyeviti mbalimbali.

Awali Katibu wa Mkoa wa Dar es Salaam, …..alisema CCM Mkoa wa Dar es Salaam wako salama katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani wamejiandaa vya kutosha.

Related Posts