MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KONGAMANO LA UHURU WA KIDINI LA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wamewasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kushiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika leo tarehe 21 Septemba 2024.

Related Posts