Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 23,2024 About the author
Day: September 22, 2024
VIONGOZI wa Kimila kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Tamasha la Utamaduni la Kitaifa pamoja na kuongeza thamani ya
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya watoto 1,500 wanaougua magonjwa mbalimbali ya moyo ili wapate
Na Imani Nathaniel Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania ikishirikiana na Ubalozi wa Vietnam Tanzania imefanya ziara maalumu katika kituo cha watoto yatima wenye ulemavu
HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa
Chama cha Kansela Olaf Scholz cha Social Democratic SPD kimepata ushindi mwembamba katika uchaguzi wa jimbo la Brandenburg. SPD kiko mbele ya chama cha siasa
Picha ya Umoja wa Mataifa/Loey Felipe Mkutano wa Siku za Hatua za Baadaye. Jumapili, Septemba 22, 2024 Habari za Umoja wa Mataifa Viongozi wa dunia
Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku nne tangu dunia iadhimishe kumbukizi ya siku ya usalama wa wagonjwa, Zanzibar imeweka wazi magonjwa 10 yaliyoongoza kwa watu
Dar es Salaam. Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Tanzania (TMDA) zimetoa tahadhari ya matumizi ya dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi
IDADI ya wachezaji wa Tanzania Prisons kutamani kustaafu soka imeendelea kuongezeka baada ya Salum Kimenya, kuonesha nia ya kutundika daruga ili kugeukia shughuli nyingine nje