MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU KUZINGATIA KATIBA, UTUNZAJI SIRI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, ndugu John Mongella, amewasili Kigoma na kufanya kikao – kazi na viongozi waandamizi na watumishi wa CCM mkoani humo, Septemba 21, 2024.

Katika kikao-kazi hicho pamoja na mambo mengine, ndugu Mongella amesisitiza suala la kuendelea kujenga umoja na mshikamano, utunzaji wa siri za vikao, kusimamia Katiba ya CCM, kanuni, miongozo na taratibu mbalimbali za Chama na Jumuiya zake.

 

Related Posts