Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa na polisi

Kutokea magomeni Mapipa ambapo kulitarajiwa kuanza kwa maandamano ya amani ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  kuhusu Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya Wadau mbalimbali kuhusu kushinikiza serikali juu ya kuchukua hatua dhidi ya utekaji na upotevu wa watu nchini ambapo Polisi wamemkamata saa chache tu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na binti yake aliyekuwa ameongozana naye akiwa anaongea na waandishi wa habari leo Septemba 23.

Related Posts