Picha: Hali ilivyo kwenye maeneo mbalimbali kuelekea maandamano ya amani yaliyopangwa na CHADEMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kuanza maandamano ya amani hii leo ya kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya Wadau mbalimbali kuhusu kushinikiza serikali juu ya kuchukua hatua dhidi ya utekaji na upotevu wa watu nchini

Hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi ya leo maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam

Related Posts