Picha :Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akamatwa na jeshi la polisi muda huu

Muda huu kutoka Magomeni Mapipa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekamatwa na jeshi la polisi baada ya kuonekana maeneo haya akizungumza na waandishi wa Habari, Mbowe amekamatwa yeye kisha Binti yake aliyekuwa ameongozana naye .

The post Picha :Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akamatwa na jeshi la polisi muda huu first appeared on Millard Ayo.

Related Posts