Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 26, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Day: September 25, 2024
Dar es Salaam. Wakati Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki chapa ya Tigo, ikidaiwa kufichua taarifa za simu za Tundu Lissu kwa mamlaka za Serikali, Mbunge
Ruvuma. Imeelezwa kuwa, maghala 28 ya nafaka yanayojengwa chini ya Wizara ya Kilimo mkoani Ruvuma, yanatumia teknolojia bora na ya kisasa. Meneja Miradi wa Kampuni
Mbinga. Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kuanza ujenzi wa Bandari ya Mbambabay, wanatarajia kuzungumza na Serikali ya Malawi kuhusu ushirikiano katika huduma za
Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa vifo vya watu watatu vilivyotokea katika msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo wilayani
Kigoma. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Maneno Bufa, mkazi wa Gezaulole ameuawa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake ukiwa na majeraha na kutelekezwa eneo
Shinyanga. Chama cha Viziwi Tanzania (Chavita) kimeiomba Serikali kuhakikisha wakalimani wa lugha ya alama wanakuwepo kwenye shughuli ya uboreshaji daftari la wapigakura na upigaji wa
Dar es Salaam. Watu watatu wakiwemo mhasibu na ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa
Dar es Salaam. Imeelezwa ushiriki wa wanaume katika masuala ya uzazi wa mpango ni muhimu na utakuwa na manufaa zaidi ukionekana. Hayo yamelezwa leo Jumatano,
EDGAR William ni miongoni mwa maingizo mapya kwenye kikosi cha Fountain Gate msimu huu na tangu msimu huu umeanza tayari ameonyesha ni mshambuliaji hatari kwa