Mishi, binti mrembo wa Kitanga ndio kwanza ametoka kuolewa na dereva wa malori, Musa, ambaye amekuwa akimpa zawadi nyingi hadi zikamvuruga akakolea na kuolewa. Lifti aliyopewa katika Range Rover nyekundu ya kijana mfanyabiashara, Mustafa inamchanganya…