MALAWI ndio pekee iliyotoa upinzani mkali kwa Tanzania katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa kriketi ya mizunguko 20 ambapo Tanzania ilishinda
Month: September 2024
Ijumaa ya Septemba 27, 2024, wakili wa washtakiwa hao, Meshack Ngamando akizungumza na waandishi wa habari alisema kila kitu kilichotakiwa kwenye kesi hiyo kilikuwa kimekamilika,
KINDA la FCA Darmstadt ya Ujerumani, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr ‘ amesema ameanza kuzoea Ligi na mazingira ya nchi hiyo ambayo ni maraya kwanza kwake.
MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imechaguliwa kuwa miongoni mwa mashirika manane yatakayowania tuzo ya kimataifa ya kukuza biashara kwa mwaka 2024. Taarifa ya
LICHA ya Mbeya Kwanza kupoteza michezo yote miwili mfululizo katika Ligi ya Championship, kocha mkuu wa timu hiyo, Emmanuel Masawe amesema, hawakuzidiwa kwa uwezo na
Mchezaji wa timu ya taifa ya gofu wanawake, Neema Olomi ameiita michuano ya Lina PG Tour ni ‘tanua mbavu’ kwa wacheza gofu wanawake kwani inawalazimisha
KIUNGO Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Said Khamis ‘Said Jr’ amepata shavu la kusajiliwa Peshmarga Sulaymaniya SC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Iraq akiungana na
MKALI wa kucheza danadana, Hadhara Charles, hali yake si nzuri kama alivyozungumza na Mwanaspoti katika mahojiano gazeti la juzi Jumamosi, huku mwenyewe akikiri wakati mwingine
MSHAMBULIAJI wa Pamba, Mghana Eric Okutu amesema hafurahishwi na mwenendo wa timu hiyo katika Ligi Kuu Bara hadi sasa, huku akiweka wazi ana kazi kubwa
KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa uwanjani kuumana na KMC katika mechi ya Ligi Kuu Bara na sasa kinajiweka sawa kukabiliana na Pamba Jiji,