WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Jerry Silaa amewataka viongozi wa kanisa kuwaasa waumini wao kutenga muda wa kujiandikisha katika daftari la wapiga
Month: September 2024
Jumapili ya leo mechi mbalimbali zinaendelea ambapo nafasi ya kuwa tajiri iko mikononi mwako. Man U, Real Madrid, Napoli na wengine kibao wapo dimbani.
BAADHI ya wadau wa soka jijini hapa wamemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano kujiuzulu nafasi hiyo, huku wakiliomba Shirikisho
Kondoa. Ubaguzi wa kutowapeleka watoto wa kike shuleni unaofanywa na baadhi ya wanaume katika kijiji cha Mnemia, Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, umewasukuma wanawake kuanzisha
Arusha. Wazazi na walezi wametajwa kuwa chanzo cha kushamiri kwa matukio ya ukatili kwa watoto kutokana na kutelekeza majukumu yao ya malezi na kutumia muda
LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa zikipishana.
Dodoma. Wakati mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendelea, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli yenye taswira ya kutoa elimu kwa mpigakura kuhusu umuhimu
Dar es Salaam. Kutotekelezwa kikamilifu kwa Mwongozo wa Malezi, Unasihi na Ulinzi wa Mtoto kwa Shule na Vyuo vya Ualimu Tanzania wa mwaka 2020, kunahatarisha
Dar es Salaam. Bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni imeshuhudia ongezeko la kasi ya uhudumiaji wa makontena, ikihudumia takribani makontena 100,000 ya futi 20
KOCHA aliyewahi kuifundisha Yanga msimu 2020, Luc Eymael ametambulishwa kwenye kikosi cha FC Lupopo ya DRC Congo anakochezea mtanzania, Abdallah Shaibu ‘Ninja’. Lupopo hivi karibuni