Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Month: September 2024
KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kushuka uwanjani usiku wa leo kukabiliana na KMC, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi akimaliza utata kwa kutoa sababu
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids jioni ya leo anajiandaa kuiongoza tena timu hiyo kwa mara ya nane katika mechi za mashindano kwa msimu huu tangu
RAIS wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ambaye pia ni nyota wa zamani wa Barcelona, Chelsea na Inter Milan, ameeleza umuhimu wa
HII ni siku spesho. Ndio, ni Sunday Spesho kwelikweli. Kwani kama wewe ni shabiki wa soka, basi leo hupaswi kuchezea rimoti kabisa. Yaani ukikaa mbele
Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 29,2024 About the author
Iringa. Jeshi la Polisi nchini limewaonya abiria wanaochochea madereva wa vyombo vya usafiri kuwa na mwendo usio salama, kwani huo ndio mwanzo wa kutokea ajali.
Dar es Salaam. Wakati wananchi wakiendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira, imeelezwa kuwa baadhi yao wanaogopa kutumia gesi wakiamini si salama.
Dar es Salaam. Jamii imeaswa kutofungama na makundi ya watu yenye lengo la kubomoa umoja uliojengeka baina yao kwa kusambaza taarifa zisizo sahihi na kuibua