Mwanza. Miili mingine minane imeopolewa Ziwa Victoria baada ya mtumbwi wa mizigo uliobeba abiria wanaodaiwa kufikia 31 kuzama Septemba 25, 2024. Awali, Jeshi la Polisi
Month: September 2024
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo katika mchakato wa kufanikisha ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Mtwara hadi Mbambabay. Amesema ni kiu ya
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuimarisha amani akisema haijengwi kwa kumwaga damu bali kwa kuelewana. Amesema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake mkoani Ruvuma, uliofanyika
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Amina Talib Ali ametoa wito kwa wazazi kutoacha kufanya majukumu yao ya kuwasimamia
Dar es Salaaam. Wakati Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ikitangaza awamu ya kwanza ya walionufaika, kiwango cha chini cha mkopo
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 46 ya Bodi hiyo
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha takribani Sh. Trilioni sita
Dar es Salaam. Waandishi wanane wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzokinya’nga’nyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (Ejat), kwa mwaka 2023.
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda,akizungumza na wananchi wakati mara baada ya kumkabidhi Mkandarasi tenda atakayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya mkoa