Mambo vipi mteja wa Meridianbet je unajua kuwa Jumamosi ya leo unayo nafasi kubwa ya kutimiza ndoto zako ukibashiri za leo na Meridianbet? Ingia
Month: September 2024
Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi na mashirika ya umma yanayotekeleza miradi ya maendeleo kuacha utaratibu wa kununua malighafi nje
Moshi. Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi miwili, amekutwa ametupwa katika chemichemi ya Cofee Curing katika mtaa wa Samaria Manispaa ya Moshi, mkoani
NA WILLIUM PAUL, SAME. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya
Mbeya. Licha ya kutangulia kupata bao hadi mapumziko, Ken Gold imeshindwa tena kutamba nyumbani baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Tabora United katika
KIPIGO cha mabao 3-1, ilichokipata Kagera Sugar juzi dhidi ya Fountain Gate kimemuweka pabaya kocha mkuu wa kikosi hicho Mganda Paul Nkata ambaye ametakiwa kuandika
Musoma. Wilaya ya Musoma inatarajia kuandaa mbio za Marathon zitakazochochea na kusisimua uchumi wa Manispaa ya Musoma pamoja na watu wake. Akizungumza leo Jumamosi Septemba
MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Selemani Mwalimu ‘Gomez’ amesema mwenendo aliokuwa nao katika michezo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa unampa morari kuendelea kupambana zaidi, huku
KUNDI la wanamgambo la Hezbollah la nchini Lebanon, limethibitisha kuuawa kwa kiongozi na mmoja wa waanzilishi wake, Hassan Nasrallah, katika shambulizi la anga la
YANGA ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili kulikoni?