Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza vitalu viwili vya uchimbaji wa mafuta na gesi asilia nchi kavu. SMZ imezikaribisha kampuni za ndani na
Month: September 2024
MWAKA huu, Mwanaspoti liliibua mateso ya miguu ya straika wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu kuvuja usaha jambo lililowagusa Watanzania kujitoa kuhakikisha anapata
“Sayyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hezbollah, ameungana na mashahidi wenzake na wafiadini ambao aliwaongoza kwa takribani miaka 30,” ilieleza taarifa iliyotolewa na kundi hilo
Kilele cha tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 kanda ya Nyanda za Juu kusini kimekamilishwa kwa Malkia sita wa Nguvu kukabidhiwa tuzo zao kwenye vipengele
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan ameupa rungu Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wa CCM, kuwajibu wanaozungumza vibaya dhidi yake, akisisitiza hawapaswi kuhofia. Samia ambaye
WAZIRI wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba amezitaka Taasisi za Umma ambazo hazijaanza kutumia Mfumo mpya wa kielektroniki wa manunuzi ya umma wa National – e
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka Taasisi za Umma nchini zinazoshindwa kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma, National e-Procurement System (Nest),
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhr.Deus Sangi akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa vitendo kwa Wanafunzi 65 wa
Dodoma. Watu wanne wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika mtandao wa mauaji jijini Dodoma. Wanatuhumiwa kusababisha vifo vya watu wanane, huku watano wakijeruhiwa
WATAFITI wa kilimo wamejipanga kuzalisha mbegu za muhogo na viazi vitamu, nchini kwa njia ya haraka kwa kutumia teknolojia ya kitalu tanulu (Tunnel system).