BAADHI ya wachezaji wa timu za Ligi Kuu Bara wamedai kushtushwa na kusikitishwa na hali aliyonayo sasa nyota wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias
Month: September 2024
BAADA ya tetesi nyingi kuhusiana na kocha Mwinyi Zahera kufanya makubaliano na uongozi kabla ya kupigtwa chini, mwenyewe ameibuka na kuweka wazi kuwa bado yupo
Geita. Wakati nchi ikielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, wanawake wametaakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali na kutoogopa vitisho vya wanaume. Wito
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (30), ameeleza mikakati yake wakati akianza safari mapema leo, Ijumaa kwenda Iraq kwa ajili ya kujiunga na chama jipya
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza baraza la wasemaji wa kisekta Zanzibar likiwa na jukumu la kufuatilia utendaji wa Serikali kisera, uchumi na ustawi wa jamii.
MASHINDANO ya 39 kwa Watumishi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa Tanzania (Shemisemita) yalihitimishwa juzi kwa timu ya soka ya Geita kuichapa Ifakara mabao 3-1
Dodoma. Serikali imetoa tahadhari kwa wananchi kutumia chakula kwa uangalifu kuanzia ngazi ya familia na kuzingatia kanuni bora za hifadhi ya mazao ya chakula kutokana
Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa msimamo wake kwa kusema hataki kurudia makosa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, akipania kuinoa
“Yemen inakabiliwa na sura nyingine mbaya katika mgogoro wake usiokoma, unaochochewa na makutano ya migogoro na matukio ya hali ya hewa kali.,” alisisitiza Matt Huber,