Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya
Month: September 2024
Arusha: Wananchi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajia kunufaika na fursa nyingi zaidi za kibiashara kupitia jukwaa la pamoja la biashara
Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya
BEKI Abdi Banda amerejea katika kikosi cha Baroka cha Afrika Kusini alichokitumikia akitokea Richards Bay. Nyota huyo mara ya kwanza alijiunga na Baroka akitokea Simba
Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi wa fedha
Na. Abel Paul Chicago Marekani. Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Jiji la Chicago Nchini Marekani wametumia fursa ya Mafunzo yaliyofanyika nchini humo
KOCHA wa Mtibwa Sugar, Melis Medo amemtabiria makubwa rafiki yake, Kassim Liogope ambaye anaongoza benchi la ufundi kwa muda la Azam FC wakati mchakato wa
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Raymond Mndolwa, amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi, Mkoani Iringa, kuongeza kasi katika ujenzi
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ifikapo mwezi Desemba,2024 kuwachukulia hatua za kisheria kwa wamiliki wa Viwanda
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi Cha Ruvu kwa juhudi za kuchangia maendeleo ya sekta ya uchumi.