Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni ya madini ya BHP, inayotarajia kushirikiana na Lifezone Metal kuwekeza katika mradi
Month: September 2024
Mkurugenzi mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili
Farid Mussa, mchezaji wa Young Africans SC, atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya
JOTO la Simba limeanza kuwaingia Al Ahly Tripoli ya Libya baada ya kuitana mezani kuweka yamini jinsi ya kuwakabili wawakilishi hao wa Tanzania kwenye mechi
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu, amewataka wabunge kutokuwa na hofu ya kurudi majimboni na kuwahimiza kuzungumzia mafanikio yaliyopatikana kupitia miradi mbalimbali. “Niwapongeze kwa kazi
Blinken amesema kile alichokiona ni kwamba asilimia 90 ya masharti yamekubalika, lakini kuna masuala madogo muhimu yanayopaswa kushughulikiwa, kama uwepo wa wanajeshi wa Israel katika
Dar es Salaam. Wajasiriamali nchini wamepewaa mbinu za kuwawezesha kulifikia kikamilifu soko la ndani na nje ya nchi, wakitakiwa kuwa wabunifu wa vifungashio na mikebe
MASHABIKI wa Yanga wanachekelea kiwango cha beki mpya wa kushoto, Chadrack Boka aliyeanza kazi kibabe ndani ya mechi nne tu,lakini makocha nao wakafunguka namna timu
Mama mwenye umri wa miaka 33, Mwavita Mwakibasi, na binti yake wa miaka 11, Salma Silvesta, wote wakazi wa Mtaa wa Muungano, Kata ya Mkonze,
MIAMBA ya soka la Morocco, Wydad Casablanca imeonyesha kuwa siriazi kuitaka huduma ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ambaye ni mfungaji bora wa Kombe la