Kmoin Walhang ameketi kwa fahari karibu na mkusanyo wake wa vyeti na nukuu ambazo amepokea baada ya kushiriki katika marathoni kadhaa. Credit: Kwa hisani ya
Month: September 2024
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa Telegram, Pavel Durov, amekana vikali madai ya kutokudhibiti matumizi mabaya ya programu yake, baada ya kukamatwa mnamo Agosti 25, 2024.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, amejibu hadharani madai ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amemtaka Mchungaji Peter Msigwa, ambaye kwa sasa amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulipa fidia ya
Afisa wa polisi, Fatma Kigondo, amefikishwa mahakamani kutokana na tuhuma zinazomhusisha na tukio la ubakaji na kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 17. Fatma, ambaye
Mbeya. Baadhi ya wanawake wenye umri kati ya miaka 18 mpaka 35 wako hatarini kiafya kutokana na matumizi ya kemikali, vidonge na vitu vinavyotengenezwa kwa
Wanafunzi 17 wamepoteza maisha baada ya moto mkubwa kutokea katika shule ya Hillside Endarasha, Kaunti ya Nyeri, nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa
Mafuta ya ubuyu yanatokana na mbegu za matunda ya mti wa ubuyu. Mafuta haya yana thamani kubwa kiafya, hasa kwa wagonjwa wa kisukari. Mafuta ya
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti