Longido. Waziri wa Maji wa Tanzania, Jumaa Aweso amewaambia Longido, Serikali ipo mbioni kutangaza zabuni ya kumpata mkandarasi atakayetekeleza mradi wa kupeleka maji ya uhakika
Month: September 2024
UONGOZI wa Dodoma Jiji umechagua kuutumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara kwa michezo ya nyumbani, baada ya Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kufungiwa
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameyasisitiza Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzingatia malengo, mipango, mikakati
Usalama na Afya ni jambo la msingi sana, na kila mtu anapambana kwa gharama kubwa kuhakikisha afya yake inakuwa imara, juhudi hizo pekee hazitoshi
Bagamoyo. Moja ya sababu ya kuibuka kwa migongano baina ya binadamu na wanyamapori ni kufanyika kwa shughuli za kibindamu kwenye shoroba. Shoroba ni njia za
MABOSI wa Azam FC wako katika harakati za kumsaka mrithi wa Yousouf Dabo aliyetimuliwa Septemba 3, mwaka huu kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ndani
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi,akizungumza na moja wa mteja mara baada ya kuzindua Kituo cha Huduma kwa Mteja ,uzinduzi huo umefanyika katika
Afisa huyo Fatma Kigondo anadaiwa kuwa ndiye “Afande” aliyekuwa akitajwa na kundi hilo la vijana lilipokuwa likimfanyia vitendo vya kikatili msichana huyo aliyepachikwa jina la
Hai. Balozi wa Utalii Tanzania, Nick Reynolds maarufu kama Bongo Zozo anatarajia kuanza safari ya siku saba ya kuupanda Mlima Kilimanjaro kesho Septemba 6, 2024
HAINA haja ya kusubiri mpaka ligi zirejee wakati unaweza ukaendelea kukusanya maokoto kupitia Meridianbet kwa kubashiri michezo mbalimbali ambayo inaendelea kuchezwa kipindi hiki ligi zimesimama.