Leo Tarehe 5 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing.
Month: September 2024
“Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la
TAIFA Stars imeanza mbio za kusaka tiketi ya kwenda katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika mwakani huko Morocco, kwa kudondosha pointi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka Walimu wa Hesabu kuwaandaa wanafunzi na vijana kujikita katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) ili kupata
Longido. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mpaka wa Namanga ni eneo muhimu la kukuza biashara na
Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na Mfalme Mswati wa Eswatini wameshiriki sherehe za kitamaduni kuwaozesha watoto wao. Nomcebo Zuma, 21, alikuwa
Moshi. Babu anayetuhumiwa kumbaka mjukuu wake wa miaka minane na kisha kujiua kwa kujinyonga baada ya mke wake kumfuma, aliacha ujumbe kwa mkewe huyo, Philipina
Picha: Wafuasi wa CHADEMA wakiandamana kumsindikiza aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Maandamano hayo yamefanyika
RAFIKI yangu Kassim Liogope amepewa jukumu zito la kukaimu nafasi ya ukocha mkuu wa Azam FC muda mfupi baada ya timu hiyo kumtimua kocha Youssouph
Papa Francis, mwenye umri wa miaka 87, aliwavuta zaidi ya watu 80,000 kwenye Misa Kuu iliyofanyika katika Uwanja wa Kitaifa wa Gelora Bung Karno, Jakarta,