Dodoma. Fatma Kigondo anayelalamikiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo
Month: September 2024
MWANZO haujawa mzuri kwa timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars katika mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025
MWINYI Zahera mwanzoni mwa wiki hii alipitia katika kikaango baada ya kuponea chupuchupu kutimuliwa na Namungo kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo, Baada ya
Rais wa China Xi Jinping aliahidi kutoa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 50 na angalau ajira milioni 1 kwa Afrika katika mkutano wa kilele
Mbeya. Mahakama ya Rufani imemwachia huru mkazi wa Kijiji cha Lesyelo, Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Lwitiko Mwamkamba, aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) yanayolenga kufungua milango na fursa kwa wafugaji
Mwanariadha Rebecca Cheptegei amefariki siku chache baada ya kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na mpenzi wake wa zamani. Mwanariadha huyo wa mbio za marathon wa
Caracas. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Msemo huu unadhihirishwa nchini Venezuela baada ya Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro kutangaza sikukuu ya Krismasi isherehekewe
Leo Tarehe 5 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing.
Caracas. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Msemo huu unadhihirishwa nchini Venezuela baada ya Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro kutangaza sikukuu ya Krismasi isherehekewe