Geita. Wanafunzi 162 kati ya 3,255 wenye uhitaji maalumu kutoka shule 15 za msingi katika Halmashauri ya Geita, wameacha shule kwa kipindi cha miaka mitatu.
Month: September 2024
Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Hydrogen Barani Afrika unaoendelea nchini Namibia akimwakilisha Rais
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi za kupikia kwa lengo la kuwezesha utunzaji wa
WALEED Nahdi ni ingizo jipya la madereva wanaotarajiwa kushiriki raundi ya pili ya mbio za magari ubingwa wa taifa zitakazofanyika Iringa mwishoni mwa wiki ijayo.
Timu za mpira wa miguu za Geita DC,Msalala DC,Tanga Jiji na Ifakara TC zimefanikiwa kuinga hatua ya nusu fainali ya michuani ya Shirikisho la Michezo
Taasisi ya Doris Mollel, imeelezea masikitiko yake kwa kutokea kwa tukio la kikatili ambalo linakiuka haki za msingi za mtoto na kuhatarisha mustakabali wa ustawi
Arusha. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitenga na kauli ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido (DC) mkoani Arusha, Marco Ng’umbi kikisema hakihitaji kubebwa ili kishinde
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo
Dar es Salaam. Wakati zabuni za zaidi ya Sh840 bilioni za urejeshaji miundombinu iliyoharibiwa na mvua zikitarajiwa kutangazwa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), makandarasi