Papa amesema jambo hilo linapotosha imani za kidini za watu kupitia kile alichokitaja kama “udanganyifu na vurugu”. Akizungumza katika hotuba yake mbele ya wanasiasa 300
Month: September 2024
Wafichua taarifa ni watu ambao hufichua shughuli zisizo halali, zinazoenda kinyume na maadili au zisizofaa na zinazomhusu mtu binafsi, serikali au hata mashirika. Mara nyingi
Katavi. Wakati Serikali inajitahidi kuandaa mazingira na mipango madhubuti ya makuzi, malezi na maendeleo ya mtoto kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali hali ni tofauti wilayani
JE, unataka kujua maisha ya aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu yanaendeleaje kwa sasa, Mwanaspoti limefanya mahojiano naye maalum kwa kumtembelea nyumbani kwake
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wajumbe
Kulingana na ripoti ya taasisi hiyo yenye makao yake mjini Johannesburg Afrika Kusini, ambayo ilianzisha utafiti wa kukusanya maoni miongoni mwa vijana 5,604 wenye umri
Zanzibar. Septemba 4, 2024, Juma Duni Haji, maarufu Babu Duni ametangaza kustaafu siasa. Ameagwa kwa heshima na chama chake cha ACT-Wazalendo.Katika hafla hiyo ya kumuaga,
Afisa Vipimo, Wakala wa Vipimo (WMA), Mkoa wa ki-vipimo Ilala, Yahya Tunda akiwasilisha Mada kuhusu nafasi ya WMA katika uhakiki wa vipimo vya gesi za
Kwa mujibu wa meya wa mji Lviv, Andriy Sadovyi, watoto watatu walikuwa miongoni mwa waliouawa kwenye mashambulizi hayo, ambayo hadi asubuhi ya Jumatano (Septemba 4) bado
Kufuatia matokeo hayo, viongozi wa chama cha AfD, Alice Weidel na Tino Chrupalla, wanataka wapatiwe nafasi kwenye serikali za majimbo hayo, wakidai kupewa idhini na