Nyasa. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, wamemkata mganga wa kienyeji maarufu ‘Askofu’ katika Mhalo wa Mbamba
Month: September 2024
Na. Saidina Msangi, Kisarawe, Pwani. Wananchi wa Kitongoji cha Homboza Wilayani Kisarawe, mkoani Pwani, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanachukua mikopo katika taasisi za watoa huduma za
WAKATI vyama vya kikapu nchini vikiandaa uzinduzi kwa kushindanisha timu viwanjani moja kwa moja, Mkoa wa Pwani umeanza kwa wachezaji kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka TRA kujadili na kupunguza migogoro ya kikodi inayolalamikiwa na Wafanyabiashara, kutanua wigo kwa walipa kodi
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mafanikio makubwa ya Tanzania katika sekta ya bahari yameivutia nchi ya Comoro kutaka kujifunza masuala mbalimbali kupitia Chuo cha Bahari
WAKATI jana viongozi wa Azam FC wakitangaza kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Youssouph Dabo raia wa Senegal sambamba na wasaidizi wake wote
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla amewasili Mkoani Arusha tayari kuanza ziara yake ya siku 6 Katika Mkoa wa Arusha na
KAMISHINA wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu, CP Suzan Kaganda ametoa uzoefu wa masuala ya Polisi Jamii yanavyosaidia kulinda amani katika maeneo
Geita. Wakati Watanzania wakitarajia kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024 kwa kupiga kura na Uchaguzi Mkuu 2025, mashirika yasiyo ya kiserikali
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu baina ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 19 katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge,