Na Oscar Assenga,Tanga. MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Mhandisi Juma Hamsini amesema kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba
Month: September 2024
New York. Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya viongozi na wanadiplomasia waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA) jijini New York, Marekani wameonekana
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewapongeza Wakazi wa Kitongoji cha Kiruwa kilichopo Kijiji cha Ruvu Mbuyuni Kata
Dodoma. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema wazazi ni mojawapo ya vyanzo vya watoto kuacha
Jopo la kikao cha “Kukumbuka Hiroshima na Nagasaki: Kuwazia Ulimwengu Usio na Silaha za Nyuklia.” Credit: AD McKenzie/IPS na AD McKenzie (paris) Ijumaa, Septemba 27,
Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imewataka vijana kuja na bunifu zenye tija kwa jamii, ili hatimaye wapate wafadhili watakaosaidia
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la ubora wa elimu (IQEC), litakalowakutanisha wadau wa elimu zaidi ya 350 kutoka nchi
Iringa. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemhukumu kutumikia kifungo cha maisha jela mkazi wa eneo la Migoli, Fumo Renatus (26) baada ya kukutwa
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam imepanga Oktoba 17, 2024 kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria yaliyowasilishwa na mtangazaji
Mbeya. Baada ya kuanza na sare katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Championship, Mbeya City leo Ijumaa imetakata kwa kuinyoosha Mbeya Kwanza kwa bao