Unguja. Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji (Babu Duni) akiagwa leo, chama hicho kinaanza utekelezaji wa sera ya ya kuwaenzi
Month: September 2024
Dodoma. Mama wa mtoto aliyedaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia, Stella Gidion amesimulia namna alivyohangaika kumtafuta mwanaye baada ya kuondoka na mumewe.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi akizungumza na Wakurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara zote na Waratibu wa
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 kwa msanii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli na dizeli, kwa mwezi wa Septemba
Waratibu wa Mpango wa Okoa Bahari chini ya KONCEPT Group, imeratibu shughuli ya kufanya usafi kandokando mwa bahari ya Hindi katika eneo
Miongoni mwa makosa makubwa ya wanasiasa ni kudhani siasa ni taaluma kama vile ualimu au uhandisi. Wanadhani ubunge, udiwani, uenyekiti wa mtaa na nafasi nyingine
Marekani imemfungulia mashtaka kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar na viongozi wengine wakuu wa kundi hilo la Palestina kwa kupanga na kutekeleza
1 Mkutano wa kilele wa siku zijazo ni nini? Mnamo 2020, UN ilitimiza miaka 75 na kuadhimisha hafla hiyo kwa kuanza a mazungumzo ya kimataifa