Babati. Vijiji vitano vilivyoathirika na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanang Desemba 2023 mkoani Manyara, vinatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wenye thamani ya Sh1.7
Month: September 2024
Ashrack Miraji MKUU wa Wilaya ya Tanga Japhari Kubecha, ameanza ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, zikiwemo taasisi za kidini. Kubecha
Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa, aliyekuwa mlinzi wa Kampuni ya la Commercial Coal Security Company, Edger Jackson, aliyemuua mfanyabiashara wa
UONGOZI wa Klabu ya Singida Black Stars umetoa saa 24 kwa beki Israel Mwenda kujiunga haraka kambini kwa mujibu wa mkataba wake na endapo atashindwa
Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu na mpira wa pete yanayowahusisha wafanyakazi wake yanayotambulika kama “CRDB Bank Supa
POINTI 21 zilizofungwa na UDSM Outsiders katika robo ya tatu katika mchezo dhidi ya Mchenga Star ndizo zilizochangia timu hiyo kushinda mchezo huo wa Ligi
Kwenye awamu hii ya kwanza ya siku 10 iliyoanza Jumapili (Septemba 3), WHO inasema imefanikiwa kugawa chanjo kwa zaidi ya watoto 161,000, kikiwa kiwango cha
TIMU za Risasi na Veta zinatarajia kuchuana Jumamosi ijayo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Shinyanga mchezo unaopigwa
BAADA ya Srelio kuifumua Ukonga Kings kwa pointi 90-50 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), meneja wa timu hiyo,
Dar es Salaam. Uchaguzi wa Serikali za mitaa unaleta fursa ya kipekee kwa wananchi kuchagua viongozi wa karibu watakaowawakilisha katika ngazi za msingi za utawala.