Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni waziri wa mambo ya ndani Jacquemin Shabani ametangaza matukio hayo usiku wa manane. “Matokeo ya mwanzo kabisa ni kwamba kuna watu
Month: September 2024
Waandishi bunifu nchini, wameombwa kuendelea kuwasilisha miswada kwa ajili ya kushindania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa Mwaka 2024/25 . Mwenyekiti
Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC imefikia makubaliano ya pande mbili na aliyekuwa kocha wa Azam Fc Youssouph Dabo ya kutoendelea kufanya kazi naye kuanzia
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha
Na. Saidina Msangi, WF, Kisarawe, Pwani. Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti amewaasa watoa huduma za fedha wilayani humo kuhakikisha kuwa wamesajiliwa kwa
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la wananchi wa Kisiwa cha Maisome kwa kuwapatia hekta 2,871.782 za ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kijamii. Hayo
Rais Xi Jinping wa China na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini walikutana jana Jumatatu kabla ya kongamano la tisa la ushirikiano wa China-Afrika. Pande hizo
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, alikutana na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile,
Kwenye hotuba yake kwa taifa kufuatia maandamano na mgomo mkubwa siku ya Jumatatu (Septemba 2), Netanyahu alisema ameziomba radhi familia za mateka sita ambao miili
Marekani. Marekani imekamata ndege ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ikidai ilinunuliwa kinyume cha sheria kwa Dola 13 milioni na kutoroshwa nje ya nchi. Rais