Dar es Salaam. Miezi takribani mitatu ilimtosha Ebaide Udoh (27), kukamilisha safari ya peke yake aliyoifanya kwa kutumia pikipiki kufika nchini Nigeria akitokea Kenya. Akiwa
Month: September 2024
Dodoma. Mashahidi 10 wameshatoa ushahidi wao kwenye kesi ya jinai inayowakabili washtakiwa wanne wanaokabiliwa na mashtaka ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile,
Dodoma. Kamati ya wabunge wa CCM imemchagua Gladnes Salema kukiwakisha chama hicho katika uchaguzi wa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) utakaofanyika Septemba 5,
Na Veronica Mwafisi-Dodoma Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amewataka Wakurugenzi wa Utawala na
Dodoma. Changamoto za Serikali kushindwa kesi za uchaguzi, michezo ikiwamo ya kubahatisha na burudani, imepatiwa ufumbuzi baada ya kuondolewa kipengele cha kuthibitisha mtoa rushwa na
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameyaita matokeo ya uchaguzi katika majimbo mawili yaliyokipatia ushindi mkubwa chama cha mrengo mkali wa kulia cha AfD kuwa yanayoumiza,
Tabora. Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Lutengano Mwasongela ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kufanya mapitio ya leseni wanazotoa kwa waganga
Mgeni Rasmi ambaye ni Mejeja wa Fedha wa Barrick nchini, Penina Kitundu akimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya msingi mmoja wa wanafunzi wa darasa la
Na WMJJWM, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima, amesema wanawake na wanaume wanategemeana katika kazi ili kuleta
Dodoma/Singida. Ni safari ya kilometa 27 ndani ya eneo lenye miti mingi hadi kufika nyumbani kwa mganga wa kienyeji, Nkamba Kasubi anayedaiwa kuwauwa na kuwazika